Kocha Wa Aston Vila atimuliwa na klabu hiyo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kocha Wa Aston Vila atimuliwa na klabu hiyo

Kocha wa Aston Villa, Paul Lambert
Aston Villa imemtimua kocha wake Paul Lambert baada ya Klabu hiyo kushuka kwenye Msiamo wa ligi kuu England na kuwa hatarini kushuka daraja
Villa ilipoteza mchezo kwa kupigwa Mabao mawili kwa sifuri na Hull city siku ya jumanne, ikiwa ni mechi yao ya 10 bila kuondoka na ushindi
Mskoti huyu aliteuliwa mwaka 2012, na kusaini mkataba ambao utamalizika mwezi June mwaka 2018.
Kocha wa kikosi cha kwanza Scott Marshal na Kocha wa Magolikipa Andy Marshall wanashikilia nafasi ya Lambert kwa sasa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages