Hili ni basi linalofanya safari zake kati ya Dar Es Salaama na Singida liitwalo IMO EXPRESS ambalo namba zake za usajili zinasomeka T 278 CLY huku kukiwa na basi jingine linalofanya safari zake huko huko kutoka Dar kuelekea Singinda.Katika hali ambayo haiwezekaniki kwa magari mawili kusajiliwa kwa namba moja
Basi hili nalo linafanya safari zake Dar Singida nalo pia likiwa na namba za usajili T 278 CLY mbaya zaidi mabasi yote yanafanya safari zake Sehemu Moja huku majina yakiwa Tofauti.Picha Kwa Hisani ya JamiiForum
TRA Mpo au ndo ili mradi twende?
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)