Pages

Benki ya Ujerumani yasaini hati ya ushirikiano na benki ya TPB

Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler, (wapili kushoto0, akimkabidhi mfano wa hundi ya euro 2,000, mkurugenzi mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatanoi Feb 12, 2015. Benki hiyo YA kIJERUMANI NA tpb, pia wamesaini makubaliano ya ushirikiano baina yao. Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler, (wapili kushoto0, akimkabidhi mfano wa hundi ya euro 2,000, mkurugenzi mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatanoi Feb 12, 2015. Benki hiyo YA kIJERUMANI NA tpb, pia wamesaini makubaliano ya ushirikiano baina yao.Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, (Kulia), na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler wakitia saini makubaliano ya ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili za kifedha malao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatano Feb. 11, 2015. Ujerumani itakuwa ikitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa TPB ili kuwajengea uwezo katika fani mablimbali hsusan huduma kwa wateja. Pia taasisi hiyo imeipatia TPB eURO 2,000 kwa madhumuni hayo hayo. Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, (Kulia), na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler wakitia saini makubaliano ya ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili za kifedha malao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatano Feb. 11, 2015. Ujerumani itakuwa ikitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa TPB ili kuwajengea uwezo katika fani mablimbali hususan kitengo cha huduma kwa wateja. Pia taasisi hiyo imeipatia TPB EURO 2,000 kwa madhumuni hayo hayo.Mwanasheria wa TPB, Mystica Mapunda Ngongi, (Kulia) na mwakilishi na msauri wa taasisi ya Kijerumani ya SBFIC, Clause Thiele, wakisaini ili kuthibitisha makubaliano hayo. Mwanasheria wa TPB, Mystica Mapunda Ngongi, (Kulia) na mwakilishi na msauri wa taasisi ya Kijerumani ya SBFIC, Clause Thiele, wakisaini ili kuthibitisha makubaliano hayo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi (wapili kulia) akipokea hundi yenye thamani ya Euro 2,000 kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kreissparkasse Tübingen ya Ujeruman, Dk. Christoph Gögler. Fedha hizo ni kwaajili ya kuendeshea mafunzo kwa wafanyakazi wa Benki hiyo, kulia ni Mwakilishi wa Benki hiyo, Claus Thiece na kulia kwae ni Meneja Rasilimali watu wa TPB, Peter Mapigano. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi (wapili kulia) akipokea hundi yenye thamani ya Euro 2,000 kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kreissparkasse Tübingen ya Ujeruman, Dk. Christoph Gögler. Fedha hizo ni kwaajili ya kuendeshea mafunzo kwa wafanyakazi wa Benki hiyo, kulia ni Mwakilishi wa Benki hiyo, Claus Thiece na kulia kwae ni Meneja Rasilimali watu wa TPB, Peter Mapigano.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kreissparkasse Tübingen ya Ujeruman, Dk. Christoph Gögler (kushoto) pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi wakisaini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa taasisi hizo. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kreissparkasse Tübingen ya Ujeruman, Dk. Christoph Gögler (kushoto) pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi wakisaini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa taasisi hizo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kreissparkasse Tübingen ya Ujeruman, Dk. Christoph Gögler (kushoto) akizungumza na wanahabari katika hafla ya ukabidhi hundi yenye thamani ya Euro 2,000 kwa Benki ya Posta Tanzania (TPB) leo Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kreissparkasse Tübingen ya Ujeruman, Dk. Christoph Gögler (kushoto) akizungumza na wanahabari katika hafla ya ukabidhi hundi yenye thamani ya Euro 2,000 kwa Benki ya Posta Tanzania (TPB) leo Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)