Hii ndio Tanzania: Mabasi Mawili tofauti yasajiliwa kwa Namba Moja. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Hii ndio Tanzania: Mabasi Mawili tofauti yasajiliwa kwa Namba Moja.

 Hili ni basi linalofanya safari zake kati ya Dar Es Salaama na Singida liitwalo IMO EXPRESS ambalo namba zake za usajili zinasomeka T 278 CLY huku kukiwa na basi jingine linalofanya safari zake huko huko kutoka Dar kuelekea Singinda.Katika hali ambayo haiwezekaniki kwa magari mawili kusajiliwa kwa namba moja
Basi hili nalo linafanya safari zake Dar Singida nalo pia likiwa na namba za usajili T 278 CLY mbaya zaidi mabasi yote yanafanya safari zake Sehemu Moja huku majina yakiwa Tofauti.Picha Kwa Hisani ya JamiiForum

TRA Mpo au ndo ili mradi twende?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages