Haya Wamakonde kupewa Uraia wa Kenya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Haya Wamakonde kupewa Uraia wa Kenya

.com/blogger_img_proxy/jamii za kenya
Maelfu ya watu wa jamii ya Wamakonde wanapewa uraia wa Kenya kwa mara ya kwanza.
Kabila la Makonde linaloishi pwani ya Kenya walihama kutoka Msumbiji enzi za ukoloni kuja Kenya na kufanya kazi katika mashamba ya miwa.
Watakaposajiliwa, Jamii hiyo ya Wamakonde elfu tatu watapewa vitambulisho na kuwa kabila la 43 nchini Kenya.
Kushindwa kwao kujitambulisha kunamaanisha kwamba kwa miongo kadhaa wameshindwa kujisajili katika shule ama hata kutafuta kazi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages