SHEREHE ZA MIAKA 10 YA BANG MAGAZINE ZAFANA NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHEREHE ZA MIAKA 10 YA BANG MAGAZINE ZAFANA NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONE

Warembo wakipata Picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10 Ya Bang Magazine
Ukodak wa Nguvu kwa warembo Hawa Kwenye Red Carpet Ya miaka 10 ya Bang Magazine

Wageni wakiendelea kufurahia kupata picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10 Ya Bang Magazine

Mwanadada akifurahia kupata picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10  ya Bang magazine

Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata Picha kwenye Red Carpet

Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata picha na mama Wa Msanii Toka Marekani Yvonne Sangudi Kwenye Red Carpet

Wageni Wakiendelea kupata Picha Kwenye Red Carpet Ya miaka 10 ya Bang Magazine

Warembo wakipata Picha ya pamoja kwenye red carpet

Designer Faustine Simon akiwa na mrembo wakipata picha kwenye Red Carpet

Meneja Wa Skylight Band Aneth Kushaba akipata picha kwenye Red Carpet ya Bang Magazine

Miss Tanzania 2013/14 Happiness Watimanywa akipata Picha ya Red Carpet Miaka 10 Ya Bang Magazine

Meneja Wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akitoa Historia fupi ya Gazeti kwenye sherehe za miaka 10 ndani ya Escape One

Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akimkabidhi zawadi ya kushukuru mchango wa Mmoja wa Wadau wa Bang Magazine

Meneja wa Bang Magazine akiendelea kutoa zawadi kwa wadau wakubwa wa Bang Magazine

Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akimkabidhi mwakilishi toka Airtel Tanzani Zawadi ya shukrani kwa kuwa Wadau wao wakubwa kwa miaka 10

Mrembo Kutoka Bang Magazine Akafungua Shampeni kwa Furaha kuadhimisha miaka 10 ya Bang Magazine

                                         Keki nzuriii ya Miaka 10 ya Bang Magazine

Meneja wa Bang Magazine akikata Keki kwa Furaha Kusheherekea miaka 10

Kwa  Furaha kubwa Kabisa Meneja Emelda Mwamanga Akimlisha Keki Mfanyakazi wake kusheherekea miaka 10 ya Bang Magazine

Meneja naye akapata Nafasi ya kulishwa Keki na Mwenzake

Cheeeeers Kwa miaka 10 Ya Bang Magazine

Ni Furaha isiyo na kifani kwa kufikisha miaka 10,tumetoka mbali sana

Bang Magazine Staff Wakipata picha ya pamoja kwa Furaha kubwa kabisaaaa

Wageni Waalikwa nao wakapata nafasi ya Kuonja Keki ya miaka 10 ya Bang Magazine

Meneja wa Bang Magazine Akapata Nafasi ya kubadilishana Mawazo na wageni waalikwa

Sehemu ya waalikwa kwenye sehemu ya V.I.P

Wadau Mbalimbali Walijumuika Pamoja kusheherekea Miaka 10 ya Bang Magazine

Wageni waalikwa wakafungua Muziki kwa Furaha Kabisa Kusheherekea miaka 10 ya Bang Magazine

Mshehereshaji wa miaka 10 Evans Bukuku Akimwita Kwa Steji Msanii Yvonne Sangudi ambate anatokea Marekani Lakini ni Mtanzania

Yvonne Sangudi Akaanza Kuimba Taratibuuuu Kwa Hisiaaaa...............

Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akifurahia Muziki mzuri Uliokuwa unapigwa na Msaniii Vyonne Sangudi ndani ya escpe one

                                                                         Yvonne Sangudi

Wowwwww Yvnone Sangudi Akiimba Kwa Hisia Kali kabisa Kusheherekea Miaka 10 ya Bang Magazine

Hawa vijana Wanaita THE VOICE walipiga show moja ya hatari sanaaaa,Hapa wakiiimba Wimbo maalumu kwa ajili ya miaka 10 ya Bang Magazine

Huyu Mwanadada Anaitwa Angel kutoka kundi la The Voice,Aisee aliimba sana sana na alitunzawa sanaaa na mshabiki kwa kipaji chake cha kujua namna ya kucheza na sauti

Kaka huyu na Mdau wa Bang Magazine hakuweza kujizuia Hisia Zake akainuka na kwenda Kucheza Muziki mzuri uliokuwa unaimbwa na Angel

                        Hawa Ndio Kundi Zima La The Voice wakipata picha ya pamoja

Meneja Emelda Mwamanga Akiwa ana Furaha isiyo na kifani kwa kufikisha miaka 10 ya Bang Magazine

Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akipata Picha Ya Pamoja Na Wadau wake

Hapo sasa Emelda Akashindwa kujizuia kwa Muziki mzuri uliokuwa unapigwa na Msanii Yvonne Sangudi ikambidi kuvua Viatu na kuanza kucheza kwa furaha

Yvonne Sangudi ana Kipaji cha hali ya juu Hapa Aliwaita mashabiki wake jukwaani na kuanza kuimba nao wimbo maalumu kwa ajili ya Tanzani na Afrika

Wowwww!!!!!!!Hapo ni mama Na mwana wakiimba kwa Pamoja tena kwa Furaha Kubwa sanaaaa

Emelda Mwamanga akicheza kwa furaha kubwa kusheherekea miaka 10 ya Bang Magazine

Mtandao wetu huu unakupa Hongera sana kwa kufika hapo Na pia Ongeza Bidii zaidi uweze kuitangaza Tanzania Kupitia Bang Magazine.Picha Zote na Dj sek Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages