NEWS ALERT: 18 WAHOFIWA KUFARIKI KATIKA AJALI YA DALADALA NA LORI ILIYOTOKEA MUDA MFUPI ULIOPITA ENEO LA MAKONGO JIJINI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NEWS ALERT: 18 WAHOFIWA KUFARIKI KATIKA AJALI YA DALADALA NA LORI ILIYOTOKEA MUDA MFUPI ULIOPITA ENEO LA MAKONGO JIJINI DAR

Habari zilizotufikia zinasema ajali mbaya imetokea eneo la Makongo jijini Dar es salaam zikihusisha magari mawili aina ya  Coaster zimegongana na kusababisha vifo vya watu ishirini papo hapo 

Moja wapo ya Daladala aina ya Coster iliyo husika katika ajali hiyo
R.I.P
Tunatoa pole kwa familia zote zilizo fikwa na msiba huu. Habari zaidi tutawaletea tutakapo zipata

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages