WAJASILIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAJASILIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR


Kundi la walemavu, wajasilimali wafanyabiashara ndogo ndongo, leo May 20, 2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa masaa matatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa Juu ya gari kuangalia tukio hilo lililodumu kwa muda wa zaidi ya masaa matatu katika eneo la makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume). 
Baadhi ya Walemavu wakiwa wamekaa katikati ya Barabara.
Msururu mrefu wa Magari uliosababishwa na mgomo huo wa wafanya biashara ndogondogo na Walemavu. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI NA CHANZOI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages