Tanzania yapambana na Homa ya Dengue - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Tanzania yapambana na Homa ya Dengue


Tanzania imesema inapambana na mlipuko wa homa ya dengue iliyozuka mapema mwaka huu.
Watu watatu mpaka sasa wameripotiwa kufa na takriban wengine mia nne wanashukiwa kuwa na dalili za ugonjwa huo.
Dalili za ugonjwa huo pia zimeonekana katika nchi jirani za Msumbiji na Kenya. Aboubakar Famau anatuarifu zaidi kutoka Dar es Salaam.Chanzo BBC Swahili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages