SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAPOKELEWA VYEMA MKOANI ARUSHA, WENGI WAAHIDI KUSHINDA NA KUJINYAKULIA KITITA CHA SHILINGI LAKI TANO TASLIMU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAPOKELEWA VYEMA MKOANI ARUSHA, WENGI WAAHIDI KUSHINDA NA KUJINYAKULIA KITITA CHA SHILINGI LAKI TANO TASLIMU

Baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents Kanda ya Kaskazini Wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuchukua fomu za ushiriki wa shindano hilo linaloendelea Mkoani Arusha.
Wafanyakazi wa Proin Promotions wakitoa maelekezo ya kujaza fomu za ushiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents kwa washiriki waliojitokeza katika Kanda ya Kaskazini Mkoani Arusha
 
Washiriki wa Tanzania Movie Talents wakijaza fomu
 Washiriki wakiwa katika sehemu ya kusubiria kwajili ya kwenda kwa majaji kuonyesha vipaji vyao vya kuigza
 Wakitafakari juu ya  Kushiriki na kufanya vizuri katika Mashindano hayo
 Wakipeana Moyo..
 Msanii wa Vichekesho Tanzania Lucas Muhavule aka Joti (Kulia) akibadilishana mawazo na Afisa Utamaduni Mkoa wa Arusha Bi Amina Hassan wakati alipotembelea kutaza mashindano ya Tanzania Movie Talents yanavyoendeshwa.
Baadhi ya Kameramani wa Tanzania Movie Talents wakiwa tayari kwa kazi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages