ROONEY YALA KWAKE!, VAN GAAL AMCHAGUA VAN PERSIE KUWA NAHODHA MPYA WA MANCHESTER UNITED - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ROONEY YALA KWAKE!, VAN GAAL AMCHAGUA VAN PERSIE KUWA NAHODHA MPYA WA MANCHESTER UNITED

Double Dutch: Louis van Gaal (right) sees Robin van Persie as his perfect captain at Manchester United
Waholanzi wawili: Louis van Gaal (kulia) anaona Robin van Persie ndiye nahodha aliyekamilika katika klabu ya Manchester United.
 
LOUIS van Gaal  anatarajia kumteua mshambuliaji wake hatari Robin van Persie kuwa nahodha wa kikosi chake mara atakapojiunga na Manchester United baada ya kumalizika kwa kombe la dunia majira ya kiangazi nchini Brazil.
Jumamosi iliyopita Van Persia aliifungia bao muhimu timu ya taifa ya Uholanzi katika mechi ya kirafiki dhidi ya Ecuador na kulazmisha sare ya 1-1.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages