Washambuliaji hao watatokea moja
kwa moja Sudan ambapo kesho (Mei 16 mwaka huu) TP Mazembe itacheza mechi
ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya timu ya huko. Ujio wa washambuliaji hao utafanya
wachezaji wote kutoka nje walioitwa na Kocha Mart Nooij kuwa
wamepatikana kwa ajili ya mechi hiyo ya mchujo ya Kombe la Afrika ambalo
fainali zake zitachezwa mwakani nchini Morocco. Mchezaji mwingine wan
je ambaye tayari ameripoti Stars ni Mwinyi Kazimoto anayecheza nchini
Qatar.
Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) linamshukuru Mmliki wa TP Mazembe ambaye pia ni Gavana wa
Jimbo la Katanga, Moise Katumbi kwa kuwaruhusu wachezaji hao kujiunga
na Taifa Stars kwa vile mechi dhidi ya Zimbabwe ipo nje ya kalenda ya
FIFA.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)