BODI ya wakurugenzi wa timu ya FC Barcelona imethibitisha kuwa Mhispania Luis Enrique MartÃnez GarcÃa ndiye kocha mpya wa timu hiyo.
Enrique mwenye umri wa miaka 44 aliyewahi kuichezea klabu hiyo akitokea kwa mahasimu wao Real Madrid mwaka 1996, atasaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo yenye maskani yake jijini Barcelona.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)