
Gari aina ya Rav 4 ikiwa imetumbukia mtaroni katika eneo la Ilala Amana, Barabara ya Uhuru na kupelekea kuharibika.Hakuna taarifa ya majeruhi wala aliyepoteza maisha ambayo tumeweza kuipata katika eneo hilo la tukio

Gari likiwa mtaroni.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)