Mwendesha Bodaboda akitaka kuiinua pikipiki yake mara baada ya kuanguka wakati aliposhika breki kwaajili ya kutokumgonga dada mmoja (mwenye baibui) leo majira ya mchana katika Mtaa wa Lindi uliopo Jijini Arusha
-
All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Hello, my name is Josephat Lukaza. I've 12 years in Blogging and An Award Winner for the BEST Political Blog in African Bloggers Awards in 2015
Learn More →
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)