Basi lilanlodanya safari zake kati ya Mbagala Rangi Tatu na Kimanzichana lapata ajali jana katika eneo la Kibiti, Mkoa wa Pwani. Mpaka tunaondoka eneo la Tukio hakuna taarifa ya aliyepoteza maisha. Picha na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)