ATLETICO MADRID BINGWA LA LIGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ATLETICO MADRID BINGWA LA LIGA

Wachezaji wa Atletico Madrid wakimnyanyua juu kocha wao Diego Simeone baada ya kutwaa ubingwa.
TIMU ya Atletico Madrid imetwaa kombe la La Liga baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Nou Camp. Kwa ushindi huo wamefikisha pointi 90 wakati Barcelona wakiwa na pointi 87 sawa na Real Madrid ambao wamemaliza wakiwa nafasi ya tatu. Mara ya mwisho kutwaa kombe hilo ilikuwa 1996!

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages