WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI LA SMART ILIYOTOKEA LEO ENEO LA LUGOBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI LA SMART ILIYOTOKEA LEO ENEO LA LUGOBA

Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko
Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo.

Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini 
Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili 
pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la  Mkata na Lugoba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera.PICHA NA HABARI NA DJ SEK BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages