Wachokozi kwenye mitandao kukomeshwa TZ - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wachokozi kwenye mitandao kukomeshwa TZ


Mikasa ya watu kuibiwa na kudhalilishwa kwenye mitandao imekuwa ikiongezeka kadri teknolojia hiyo inavyosambaa na kuwafikia watu wengi zaidi.
Lakini sasa Tanzania imeandaa mswada wa sheria maalum kudhibiti uhalifu wa kimitandao.
Leonard Mubali amendaa taarifa zaidi kutoka Dar es salaam.Chanzo BBC Swahili.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages