SHOWROOM YA MAGARI YAUNGUA JIJINI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHOWROOM YA MAGARI YAUNGUA JIJINI DAR

Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Magari yakiwa yameteketea kwa moto.
Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.Chanzo Mtaa Kwa Mtaa Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages