SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA YA GALAXY S5 IKILENGA MAMBO MUHIMU YA WATEJA WAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA YA GALAXY S5 IKILENGA MAMBO MUHIMU YA WATEJA WAKE

 Mr. Silvester Manyara (Meneja wa Simu za mkononi wa Samsung Tanzania) akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi simu mpya inavyopima mapigo yake ya moyo. Pembeni yake ni Mr. Kishor Kumar (Meneja wa kitengo cha simu na mambo ya teknohama wa Samsung Tanzania)
 Mr. MR. DONGHA JANG (Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Tanzania) akionyesha Simu mpya ya Samsung galaxy S5 wakati wa uzinduzi wa simu hiyo. Pembeni yake ni Mr. Kishor Kumar (Meneja wa kitengo cha simu na mambo ya teknohama wa Samsung Tanzania)
  Team ya Samsung Tanznia Bw. Silvester Manyara, Bw. Jang na Bw. Kishor Kumar kwenye picha ya pamoja wakionyesha Simu mpya ya Galaxy S5 iliyozinduliwa rasmi hapa Dar es Salaam
 Waandishi wa habari pamoja na wateja wakishuhudia uzinduzi wa simu mpya ya Samsung galaxy S5

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages