RIDHIWANI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE KATIKA JIMBO LA CHALINZE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RIDHIWANI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE KATIKA JIMBO LA CHALINZE

1Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akizungumza na wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kitongoji cha Mbala kata ya Bwilingu leo wakati akiomba kura kwa wananchi hao, Uchaguzi wa jimbo la Chalinze unatarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili mwaka huu.2Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akifurahia wakati Meneja wa Kampeni hizo Mzee Kazidi alipokuwa akimtambulisha jukwaani. 3Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete katikati nia Meneja kampeni Mzee Kazidi wakimsikiliza Diwani wa kata ya Bwilingu Bw. Nasser Ahmed wakati wa mkutano huo. 4Diwani wa kata ya Bilingu Nasser Ahmed akizungumza na wananchi katika kitongoji cha Mbala kata ya Bwilingu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE) 

5

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages