Kutokana na hali hiyo magari yamefunikwa na maji, hivyo kusababisha kazi kusimama na wigo uliozungushiwa mabati kubomoka na 'mateja' kujitwalia mabati hayo, hivyo kuwa neema kwao. Wakati huo huo usafiri wa mabasi kutoka Mbagala kwenda Kongowe umesimama kutokana na magari mengi kuzimika katikakati ya barabara hiyo, hivyo hivi sasa kuna msururu wa watu wanaotembea kwa miguu kwenda Kongowe au kutoka Kongowe kwenda Mbagala.
Credit GPL





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)