Mwakilishi wa walio wachache bunge maalum la katiba Mhe.David Kafulila ashangiliwa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mwakilishi wa walio wachache bunge maalum la katiba Mhe.David Kafulila ashangiliwa


 Mwakilishi wa walio wachache  katika kamati namba tano, Mhe.David Kafulila akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake
na Deusdedit Moshi
 Mwakilishi wa walio wachache  katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake Picha na na Deusdedit Moshi
 Mwakilishi wa waliowachache  katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha mapendekezo yao  

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages