Mdau Khamis Mkotya anaomba msaada wetu - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mdau Khamis Mkotya anaomba msaada wetu

Mhariri wa Gazeti la Mtanzania Jumamosi, Khamis Mkotya, mwenye shati la Kitenge, akishiriki kikamilifu kuzindua Katiba ya Chama Cha Watu Mrijo wilayanai Chemba, mkoani Dodoma, wanaoishi jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu wa Chama hicho, Yasin Kimwaga. 
 Khamis Mkotya katikati, wakati kushoto kwake ni Shaaban Ng’oka na kulia ni Katibu, Yassin Kimwaga.
Khamis Mkotya katikati akizungumza katika uzinduzi wa Katiba hiyo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Chemba.
Tunahitaji maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na kwa wale wanaoungana kama watu wa Mrijo. Ndivyo anavyoonekana kusema Khamis Mkotya alipokuwa akizungumza katika uzinduzi wa Katiba ya Chama cha Watu wa Mrijo Wilaya ya Chemba wanaoishi Dar es Salaam juzi, akiwa kama mgeni rasmi. Kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho, Shaaban
Ng’oka na kulia ni Katibu, Yassin Kimwaga.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages