Hapa tulikua tunatoka Jijini Mwanza kuelekea Kanda ya kati Mkoani Dodoma na Timu nzima ya Proin Promotions Limited mara baada ya kumaliza shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza (TMT) Katika Kanda ya Ziwa Mkoani Mwanza, tukiwa njia tukapata sehemu ya kusimama na kuweza kurelax kidogo na ndipo nilipoamua kufanya haya.
Yote ni Kwaajili ya Kufurahi na kuweka akili sawa kwaajili ya kuondoa uchovu wa safari na kujiandaa na kazi katika Kanda ya Kati





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)