JOTI ATEMBELEA STUDIO YA RASI FM 103.7 fm ILIYOPO MKOANI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JOTI ATEMBELEA STUDIO YA RASI FM 103.7 fm ILIYOPO MKOANI DODOMA LEO

Msanii wa vichekesho Joti, leo ametembelea studio za Rasi Fm zilizopo barabara ya 10 Mkoani Dodoma, Hapo Joti akiwa katika Picha ya Pamoja na Meneja wa Redio hiyo mpya kabisa katika studio hiyo ya kutengenezea matangazo.RASI FM inapatikana kwenye masafa ya 103.7 FM na kwa sasa inapatikana ndani ya kanda ya kati.
Joti akiwa ndani ya studio za redio RASI FM iliyopo barabara ya 10 mkoani Dodoma wakati alipotembelea studio za redio hiyo
Joti akiwa katika picha ya Pamoja na Wafanyakazi wa kituo kipya cha redio cha RASI FM kinachopatikana kwenye masafa ya 103.7 Fm wakati akiondoka studioni hapo leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages