GARI NDOGO YAFUNIKWA NA LORI LA MCHANGA MARA BAADA YA LORI HILO KUPINDUKA HUKO MAKONGO ASUBUHI YA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

GARI NDOGO YAFUNIKWA NA LORI LA MCHANGA MARA BAADA YA LORI HILO KUPINDUKA HUKO MAKONGO ASUBUHI YA LEO

 Gari aina ya Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu barabarani likijaribu kutoa msaada.

Hii ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na gari la mchanga asubuhi. Juhudi za uokoaji za askari we jeshi la wananchi wakisaidiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji walifanikiwa kumtoa dereva wa gari dogo mida ya saa 1:20 za asubuhi baada ya kukaa humo tangu saa 11 asubuhi.
 Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
  Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
 Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari
  Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado akiwa yumo ndani.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI»

 Gari la mchanga lililopata ajali likionekana kwa mbali
  Baadhi ya mashuhuda na askari wakishuhudia tukio hilo





 Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa
  Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa
Gari la wagonjwa nalo lilikuja kwa ajili ya kutoa msaada
        Gari lililopinduka na kulalia gari dogo
         Gari lililopinduka na kulalia gari dogo
  Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki
    Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki.Habari na Jamvi la habari blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages