BONDIA WA IRAN SAJJAD MEHRABI AWASILI NCHINI KUMKABILI CHEKA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABA SABA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BONDIA WA IRAN SAJJAD MEHRABI AWASILI NCHINI KUMKABILI CHEKA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABA SABA


Mdau wa Mchezo wa ngumi nchini Jay Msangi kulia akiwa na bondia Sajjad Mehrabi wa Iran wa pili kushoto mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa jumatano wengine kulia ni rais wa PST Emanuel Mlundwa na promota Mussa Kova anae promoti mpambano wa cheka na bondia huyo wa Iran 
Mdau wa mchezo wa masumbwi nchi Jay Msang kulia na Promota Mussa Kova wakibadilishana namba za simu na bondia Sajjad Mehrab mara baada ya kuwasili katika uwanja wa kumataifa ya Julius Nyerere kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam 
Mdau wa mchezo wa masumbwi nchi Jay Msangi wa pili kulia na Promota Mussa Kova wakiongea na bondia Sajjad Mehrab mara baada ya kuwasili katika uwanja wa kumataifa ya Julius Nyerere kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam kulia ni kocha wa bondia huyo wa Iran Lolal Shamlo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages