Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa, kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa, kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la
aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014.
aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Kilosa achi 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)