
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejiment i ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) katikati akiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania kuhusu Mashirikia no katika Utumishi wa Umma katika miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, kulia ni Mh. James Mbatia, kushoto ni Mtangazaji wa TBC Shaban Kissu.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)