Watoto wa Marais wana haki kujiunga na siasa? - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Watoto wa Marais wana haki kujiunga na siasa?

Katika mfululizo wa makala kuhusu uhuru leo tunaangalia uhuru katika kufanya shughuli za siasa nchini Tanzania.
Katiba ya nchi hiyo imetoa uhuru kwa mtu yeyote kufanya siasa ikiwa ni pamoja na kugombea nafasi yoyote anayoitaka.
Je raia wote wa nchi hiyo wanatumia uhuru huo kama ulivyotolewa na Katiba ya nchi hiyo
Mwandishi wetu wa BBC mjini Dar es Salaam John Solombi amepata nafasi ya kufanya mahojiano na mtoto wa Rais Jakaya Kikwete , Ridhiwani Kikwete ambaye ni mwanasiasa kijana anafuata nyayo za baba yake.Chanzo BBC Swahili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages