WAKAZI WA KIJIJI CHA KABWE WILAYA YA NKASI MKOANI RUKWA WAFAIDIKA NA UVUVI WA SAMAKI ZIWA TANGANYIKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAKAZI WA KIJIJI CHA KABWE WILAYA YA NKASI MKOANI RUKWA WAFAIDIKA NA UVUVI WA SAMAKI ZIWA TANGANYIKA

 Pichani ni baadhi ya akina mama wakiwa wametoka kununua samaki kwenye bandari ndogo ya Kabwe,Wilayani Nkasi mkoani Rukwa mapema leo jioni,Akina mama hao wameeleza kuwa wengi wao wamekuwa wakijishughulisha na biashara ya samaki ili kujiingizia kipato katika suala zima la kujikwamua na umaskini.
 Mkazi wa kijiji cha Kabwe,akiwa amebeba dishi lililosheheni samaki aina ya Migebuka,anasema kama uonavyo hiyo shehena ya  migebuka huuzwa shilingi 30,000/=
Wavuvi wakitia nanga kando kando ya bandari ya Kabwe .Credit Michuzi Jr Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages