UUZAJI HUU WA SILAHA NI SAWA? - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UUZAJI HUU WA SILAHA NI SAWA?

Kijana ambae jina lake halikuweza kupatikana kwa haraka akiwa anauza mapanga kwa kutembeza katika Mitaa ya Soweto, Jijini Mbeya. Uuzaji huu wa Mapanga ni hatari sana endapo litakapotokea tatizo kwa muuzaji. Picha na Joseph Mwaisango.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages