UKIONA HIVI JUA KISHANUKA.... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UKIONA HIVI JUA KISHANUKA....

Baadhi ya Askari wa Usalama Barabarani wakimuhoji dereva wa Bodaboda (mwenye kovia gumu jekundu) mara baada ya kumgonga Mwanafunzi wa Shule ya Msingi muda mfupi uliopita katika Barabara ya Bibititi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages