
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutubia Bunge hilo Ijumaa mjini Dodoma Machi 21, 2104

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutubia Bunge hilo Ijumaa mjini Dodoma Machi 21, 2104

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa pongezi kwa hotuba nzuri na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kulihutubia Bunge hilo Ijumaa mjini Dodoma Machi 21, 2104


Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan wakifurahia jambo mara baada ya Rais kulihutubia Bunge hilo Ijumaa mjini Dodoma Machi 21, 2104.PICHA NA IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)