taswira toka bunge maalum la katiba mjini dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

taswira toka bunge maalum la katiba mjini dodoma


 Mwenyekiti wa kamati ya maadili Mhe. Profesa Costa Mahalu akiteta jambo na katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dkt. Thomas Kashilila kulia na Mhe.John Magufuli.
 Spika wa Bunge la Jahmuri ya Muungano Mhe. Anna Makinda akijadiliana jambo na Mhe. Dkt Mohamed Seif Khatib
 Wajumbe Mhe Machali  na Mhe.Mchungaji Kadiva wakijadiliana
 Waziri mkuu mstaafu Mhe Edward Lowassa kulia aliyekaa akijadiliana jambo na Mhe.Philemon Ndesamburo
Mhe.Andrew Chenge akijadiliana  jambo na Mhe. Sadifa Juma Khamis 
 Picha na Deusdedit Moshi wa Globu  ya Jamii, Kanda ya Kati

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages