TANGAZO KUTOKA MANISPAA YA KINONDONI:​:SASA WAWEZA FANYA MALIPO YOTE KWA NJIA ZIFUATAZO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TANGAZO KUTOKA MANISPAA YA KINONDONI:​:SASA WAWEZA FANYA MALIPO YOTE KWA NJIA ZIFUATAZO

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni inapenda kuwaatarifu wanainchi wote wa kinondoni kuwa sasa wanaweza   kulipia malipo yote ikiwemo kodi ya majengo na malipo mengine kwa njia zifuatazo.
 
CRDB BANK
MAX MALIPO
MPESA
TIGO PESA 
AIRTEL MONEY
 
LIPA KODI YAKO KWA WAKATI KWA MAENDELEO YA MANISPAA YETU YA KINONDONI.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages