![]() |
| Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Juma Biglee wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala amana CCM Dar es salaam jana |

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Juma Biglee wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala amana CCM Dar es salaam jana Biglee anajiandaa na mpambano wake april 15 Chalinze mkoa wa pwani picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)