SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE

 Timu ya wakaguzi wa miradi wa maendeleo wakiangalia mitambo ya kiwanda cha matairi cha General Tyre jijini Arusha
 Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (mwenye suti nyeusi) akioneshwa moja ya mashine zilizokuwa zinatumika kutengenezea matairi katika kiwanda cha General Tyre kilichopo katika jiji la Arusha na Mwangalizi wa Kiwanda hich, Bw. Leonald Mgoyo. Serikali ina mpango wa kukifufua kiwanda hicho baada ya kusimama uzalishaji tangu mwaka 2007.
 Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (mwenye suti nyusi) akiagana na Mwangalizi wa Kiwanda hicho, Bw Leonald Mgoyo baada ya ukaguzi wa kiwanda hicho. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Bw. Gideon Nasari na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango anayesimamia Klasta ya Uzalishaji, Bw Maduka 
 Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda hicho wakifurahia jambo wakati wa ukaguzi huo.

Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango wakitazama bidhaa zilizokuwa zikitengenezwa na kiwanda cha matairi cha General Tyre. Serikali ina mpango wa kufufua kiwanda hicho ambacho kilisimama uzalishaji tangu mwaka 2007.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages