
Mkurugenzi Mkuu wa Samsung Tanzania, Ndg Dongha Jang , akiongea na waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha Matengenezo ya Vifaa vya Samsung kilichopo Eneo la Kariakoo karibu na Kituo Cha Daladala cha Mbagala

Mkurugenzi Mkuu wa Samsung Tanzania, Mr. Dongha Jang akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha Matengenezo cha Samsung kilichopo kariakoo karibu na kituo cha Daladala cha Mbagala wakati wa uzinduzi uliofanyika jana jijini Dar Es Salaam

Baadhi ya Mafundi wa Kampuni ya Samsung Tanzania katika kituo cha Matengenezo cha Samsung kilichopo Kariakoo wakiwa kazini wakati wa uzinduzi wa kituo hiko kipya cha Matengenezo cha Samsung kilichopo Kariakoo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)