ONGEZA SIKU ZA KUISHI KWA KUSOMA HII.... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ONGEZA SIKU ZA KUISHI KWA KUSOMA HII....

Hadi leo jamaa anawaza atarudi vipi nyumbani kwake. Maana alimuaga mkewe kuwa anaenda China kwa ndege ya Malaysia, Bahati mbaya ndege ikapotea, tena alisindikizwa hadi Uwanja wa Ndege Kumbe bwana Jamaa kazama mtaa wa tatu kwa nyumba ndogo. Sasa ndege imepotea na abiria wote. Akirudi kwake atajieleza vipi?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages