![]() |
| Mwana-Diaspora Boniface Makulilo alipokuwa katika Jeshi la Maji la Marekani (Navy) |
Mtanzania Boniface Makulilo ametumikia Jeshi la Maji (NAVY) hapa
Marekani kwa miaka miwili na sasa ni mwanajeshi mstaafu (Veteran)
Marekani kwa miaka miwili na sasa ni mwanajeshi mstaafu (Veteran)
Amezungumza na Mubelwa Bandio wa Jamii Production kuhusu maisha yake ya jeshini na namna ambavyo watu toka nje ya nchi wanaweza kunufaika na mafao yaliyopo jeshini. Ameeleza mengi ya manufaa ambayo wengi hatuyajui kuhusu maisha katika jeshi hilo. Karibu uungane nasi
NJE-NDANI ni kipindi kutoka Jamii Production Washington DC kinachokujia moja kwa moja (LIVE) kila Jumamosi kuanzia saa 6 mpaka 8 mchana (saa za Marekani mashariki) ambacho kinaleta Habari na Taarifa kuhusu yale yanayotokea na kuwagusa wana-Diaspora wa Afrika walio NJE na NDANI ya bara la Afrika.






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)