MTANDAO WA UMEME NCHINI HADI MACHI 2014 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MTANDAO WA UMEME NCHINI HADI MACHI 2014

 Takwimu zinaonyesha kwamba  kwa sasa asilimia 36% (kutoka  asilimia 10% ya mwaka 2005)  Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa.

Waziri wa Nishati na Madini 
Sospeter Muhongo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages