MEGA TRADE WATOA MSAADA KWA WALIOKUMBWA NA MAAFA WILAYA YA HAI-KILIMANJARO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MEGA TRADE WATOA MSAADA KWA WALIOKUMBWA NA MAAFA WILAYA YA HAI-KILIMANJARO

 Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi Milioni 5 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mega Trade Investiment ya jijini Arusha, Gudluck Kway

  Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu 
kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi Milioni 5 
kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini  wa Kampuni ya  Mega Trade Investiment ya jijini Arusha, Edmund Rutaraka, kwaajili ya kusaidia waathirika wa kipunga katika Kijiji cha Kwatito. Katikati yao ni Mkurugenzi wa Masoko wa Mega Trade, Gudluck Kway na wafanyakazi wengine.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mega Trade Investiment wakishusha mabati hayo katika gari.
 Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga akizungumza baada ya kupokea nsaada huo.

 Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini  wa Kampuni ya  Mega Trade 
Investiment ya jijini Arusha, Edmund Rrutaraka na Mkurugenzi wa Masoko wa Mega Trade, Gudluck Kway wakisalimiana na  wanakijiji wa Kwatito baada ya kuwakabidhi msaada huo wa mabati. 

Wananchi wakiwa na mabati yao baada ya kukabidhiwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages