Kauli yako:Vipi ndege imetoweka isijulikane iliko? - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kauli yako:Vipi ndege imetoweka isijulikane iliko?


Jamaa za abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo wametishia kususia chakula
Uchunguzi kuhusiana na ndege ya Malaysia iliyotoweka ikiwa na abiria mia mbili thelathini na tisa unaendelea, huku kukiwa na habari za kutatanisha kuihusu.
Hakuna kilichopatikana na kusemekana kuhusishwa na ndege hiyo yenye nambari ya usajili MH370 iliyotoweka siku kumi na mbili zilizopita, ikiwa njiani kutoka Kualar Lumpur kuelekea Beijing.
Katika mjadala wetu wa leo kwenye Dira ya Dunia tunatathmini tukio hilo na tunauliza ni vipi ndege kubwa kama hiyo, itoweke kabisa licha ya kuwepo kwa utaalamu na vifaa vya kisasa?
Jiunge na Robert Kiptoo akiwahoji wataalamu kuhusu tukio hili. Kupitia mtandao wetu 
Bofya

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages