KAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LTD. KONYAGI WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LTD. KONYAGI WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd. Konyagi wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa march 8 kila mwaka

Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd.  Konyagi wakiwa katika maandamano yaliyoanzia ofisini kwa wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani iliyoadhimishwa march 8 kila mwaka



Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd. Konyagi wakiwa katika maandamano wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani iliyoadhimishwa march 8 kila mwaka na kuishia katika viwanja vya mwembeyanga Dar es salaam



Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd.  Konyagi wakiungana na wanawake wenzao kutokasehemu mbalimbali kuadhimisha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani katika viwanja vya mwembeyanga Dar es salaam

Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd. | Konyagi wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wanawake wenzao katika viwanja vya mwembe yanga Dar es salaam  wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa March 8 kila mwaka

Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd.  Konyagi wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wanawake wenzao katika viwanja vya mwembe yanga Dar es salaam  wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa March 8 kila mwaka

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages