Wakiwa kwenye Picha ya Pamoja na wafanyakazi wa Chrolide Exid

Mtaalamu wa maswala ya betri za magari kutoka kampuni ya usambazaji na watengenezaji wa betri za Chloride Exide Wenslaus Joseph akitoa mafunzo ya utunzaji na ufungaji wa betri hizo kwenye magari wakati alipokuwa akitoa mafunzo kwa mafundi wa magari kutoka katika gereji za eneo la Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Mafundi wa Magari katika gereji za eneo la Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiangalia maji ya betri ya Chloride Exide wakati walipokuwa wakipewa mafunzo ya utunzaji na ufungaji wa betri hizo kwenye magari.kutoka kwa Kampuni ya usambazaji na watengenezaji wa betri Chloride Exide





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)