JUST IN:AJALI YATOKEA ENEO LA MIKESE HIVI PUNDE. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JUST IN:AJALI YATOKEA ENEO LA MIKESE HIVI PUNDE.

Chumba cha habari cha Globu ya Jamii hivi punde kimearifiwa na kutumiwa picha za tukio la ajali eneo la Mikese na Mdau Martin Mnyenyelwa,lakini hakutufahamisha kuhusiana na athari ya ajali hiyo akiwa kama shuhuda wa tukio hilo. Kulingana na tukio ya taarifa hii kuwa nyembamba,basi tuvute subira tutajuzana kadiri ya zitakavyokuwa zikiiingia kwenye chumba chetu cha habari.Chanzo Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages