Unywaji wa pombe umeongezeka kwa kiasi kikubwa mjini Kinshasa katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutokana na utengenezaji wa chupa ndogo za pombe ambazo ni za bei nafuu.
Kwa kawaida aina nyingi za bia nchini humo zimekuwa zikipakiwa katika chupa za lita moja kiasi ambacho walevi wengi hawawezi kumudu.
Lakini sasa chupa ndogo zilizotengezwa zimevutia watu wengi wasiojiweza kiuchumi na sasa vijana pia wameanza ulevi.Chanzo BBC Swahili





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)